Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,118 Reaction score 16,485 Jan 21, 2019 #61 Ghazwat said: Ilikuwa hakuna namna lazima iwe hivyo. Na tumejipanga kuhakikisha hampati tena nafasi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ππππ Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti?
Ghazwat said: Ilikuwa hakuna namna lazima iwe hivyo. Na tumejipanga kuhakikisha hampati tena nafasi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ππππ Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti?
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jan 21, 2019 Thread starter #62 Tulijipanga lakini mwisho wa siku mpira una matokeo matatu. Kwani unataka kusema mlipokwenda Shinyanga hakujipanga? Mwana Mtoka Pabaya said: ππππ Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tulijipanga lakini mwisho wa siku mpira una matokeo matatu. Kwani unataka kusema mlipokwenda Shinyanga hakujipanga? Mwana Mtoka Pabaya said: ππππ Hata mlipokuwa njiani kwenda Congo si mlijipanga, eti? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,118 Reaction score 16,485 Jan 21, 2019 #63 Ghazwat said: Tulijipanga lakini mwisho wa siku mpira una matokeo matatu. Kwani unataka kusema mlipokwenda Shinyanga hakujipanga? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatukwenda Shinyanga na MATARUMBETA, tulikuwa humble kama kawaida yetu. Ndio maana hatusemwi sana
Ghazwat said: Tulijipanga lakini mwisho wa siku mpira una matokeo matatu. Kwani unataka kusema mlipokwenda Shinyanga hakujipanga? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatukwenda Shinyanga na MATARUMBETA, tulikuwa humble kama kawaida yetu. Ndio maana hatusemwi sana