Simba Sports Club: Taarifa kwa Umma

Mtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.

Sasa kasepa lol. tunajiandaa kuyajua ya uvunguni sasa. [emoji3]
Walitaka sana asepe huyu jamaa. Huyu njemba ni kichwa sana. Alizuia mambo ya ovyo pale simba. Viongozi wengi wapigaji walikuwa hawamtaki pale clubuni ksbb alikuwa anaendesha mambo kisasa kwa hiyo alizuia upigaji. Ukitaka kujua hilo wewe soma hiyo taarifa kwa umma ilivyokaa kikuda kuda,imekaa kibwege bwege,yaani kama mtu binafsi anaeandika hiyo taarifa. Imekaa kutaka kumshutumu hivi. Viongozi waliokuwa hawamtaki wamefurahi kujiuzuru ndio maana fasta wamejibu haraka kujiuzuru kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…