Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani mi itaniuma sana ka Chama ataondoka kweli, japo hili la Senzo litashake uongoziIla haya mambo haya bana. Zamu yenu kulazwa leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.Mtani mi itaniuma sana ka Chama ataondoka kweli, japo hili la Senzo litashake uongozi
Ngoja sasa aje na nondo za kuwabana kwenye sakata la morrisonMtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.
Sasa kasepa lol. tunajiandaa kuyajua ya uvunguni sasa. [emoji3]
Wamechanganyikiwa hadi wanatoa taarifa bila hata kuisaini. Au ndo mwendelezo wa uswahili swahili wao ktk mambo serious
Na morrison?Senzo ni snitch.
Walitaka sana asepe huyu jamaa. Huyu njemba ni kichwa sana. Alizuia mambo ya ovyo pale simba. Viongozi wengi wapigaji walikuwa hawamtaki pale clubuni ksbb alikuwa anaendesha mambo kisasa kwa hiyo alizuia upigaji. Ukitaka kujua hilo wewe soma hiyo taarifa kwa umma ilivyokaa kikuda kuda,imekaa kibwege bwege,yaani kama mtu binafsi anaeandika hiyo taarifa. Imekaa kutaka kumshutumu hivi. Viongozi waliokuwa hawamtaki wamefurahi kujiuzuru ndio maana fasta wamejibu haraka kujiuzuru kwake.Mtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.
Sasa kasepa lol. tunajiandaa kuyajua ya uvunguni sasa. [emoji3]
Best wa kusaini ndo huyo huyo aliyesepa. 😀Wamechanganyikiwa hadi wanatoa taarifa bila hata kuisaini. Au ndo mwendelezo wa uswahili swahili wao ktk mambo serious
Hahahaaaa. Wajipange tu sasa.Ngoja sasa aje na nondo za kuwabana kwenye sakata la morrison
[emoji28][emoji28]Simba mmepigwa ngumi ya kidevu sasa mmeinama tu nasie tucheke kidogo