Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Yanga mpoooo?Leo wameipata. Hawakutegemea kabisa. Haya wamfukuze kocha tupite nae.
Hapo sasaNgoja sasa aje na nondo za kuwabana kwenye sakata la morrison
Maulid Kitenge ni mwanachama wa Yanga, hakuna jipya hapo.Mambo yanaendeshwa kipambe [emoji23], nimewaambia mwalimu nguli wa madrasa amekuwa akiingilia kazi za CEO [emoji1787]View attachment 1532421
Maulid Kitenge ni mwanachama wa Yanga, hakuna jipya hapo.
Hiyo Yanga ina professionalism gani kama wachezaji tu wanasainishwa sebuleni kwa mtu.
Ina maana Yanga mlikuwa mnauhitaji mkubwa sana wa CEO wakati huu?Kwa Morrison mlijiona mmetuweza sana, haya sasa na sisi tumewabananisha kwenye kona ya kitanda 🤣
Sio CEO tu pia tunauhitaji wa Chama.Ina maana Yanga mlikuwa mnauhitaji mkubwa sana wa CEO wakati huu?
Anacheza namba ngapi kwani huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.
Sasa kasepa lol. tunajiandaa kuyajua ya uvunguni sasa. [emoji3]
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuvumilia upuuzi wa kumsajili Morrison. Senzo amefanya uhamuzi sahihi. Morrison ni size ya Manara na Mwamedi sio Senzo anayemfahamu vizuri Morrison akiwa mwizi wa magari Afrika Kusini.
Chama hamumpati, ila Deo Kanda mchukueni, haongezewi mkataba maana nafasi za wachezaji saba wa kimataifa zilikuwa zimejazwaChama na Deo Kanda ni usajili mpya wa Yanga SC.
Mlianza kutudanganya eti kapata dili Orlando Pilate kule South!Senzo ni snitch.