Simba Sports Club: Taarifa kwa Umma

Simba Sports Club: Taarifa kwa Umma

Huyo hana madhara maana ameikuta Simba imefika mbali, hakuna mafanikio mapya Simba iliyoyapata chini yake, yote ni marudio. Kuna wachezaji wakiondoka ni changamoto kama Chama, Konde boy, Mkude, Kagere na Bocco.
 
Huyu mwamba huenda kuna kitu kimemchefua pale Msimbazi,maana ni fasta sana kasepa,Yanga wakimtumia vzr atawasaidia maana wapo kwenye mchakato wa kufanya mabadiliko ndan ya Taasis na watu kama hawa wanahitajika purposley kwenye mabadiliko.
 
Mambo yanaendeshwa kipambe [emoji23], nimewaambia mwalimu nguli wa madrasa amekuwa akiingilia kazi za CEO [emoji1787]
Screenshot_20200809_202113_com.instagram.android.jpeg
 
Kuondoka kwa Senzo linaweza kuwa pigo lakini kama tulitumia taratibu za kisasa kumpata kama yeye ni wazi tutamwajili mwingine mwenye uwezo zaidi yake ila bodi ijiangalie sio unaajili mtu mweledi halafu wanafanya mambo ya hovyo kwa kukumbushia usajili pekee alioufanya ni wa konde boy na kocha kishingo konde boy hatuwezi kumwacha ila kishingo tutamwacha
 
Kunywa bia hapo na chloroqeen, malipo kwangu

Umeongea zinga la point [emoji23]
Maulid Kitenge ni mwanachama wa Yanga, hakuna jipya hapo.

Hiyo Yanga ina professionalism gani kama wachezaji tu wanasainishwa sebuleni kwa mtu.
 
Mtani ana mchango wake yule na si mdogo. Simba mlienda kisasa na mambo yenu kuwa ya siri chanzo kikubwa alikuwa huyu jamaa.

Sasa kasepa lol. tunajiandaa kuyajua ya uvunguni sasa. [emoji3]
Anacheza namba ngapi kwani huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chama na Deo Kanda ni usajili mpya wa Yanga SC.
Chama hamumpati, ila Deo Kanda mchukueni, haongezewi mkataba maana nafasi za wachezaji saba wa kimataifa zilikuwa zimejazwa
 
Namtakia kila la heri huko aendako ila asisikike akilalamika in near future....GHALIB ni yule yule!
 
Back
Top Bottom