hahaha hao ndo mikiaMlianza kutudanganya eti kapata dili Orlando Pilate kule South!
Wengine wanasema hata MoSio CEO tu pia tunauhitaji wa Chama.
Na huu ndo usajiri wenyewe, na si vinginevyo!Ngoja sasa aje na nondo za kuwabana kwenye sakata la morrison
Bodi ya wakurugenzi ikiongozwa na mshauri mwandamizi mstaafu Paul Makonda El commendent 22[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili ya mudy ya sasa tangu atekwe kila kitu kinawezekanaMakonda is the new CEO!
Namba ni ile ile kama aliyokuwa anacheza akiwa msimbaziAnacheza namba ngapi kwani huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kazi yake ilikua kusema "usiniumizieeee"...."sawaaaaa"....kwahyo akwende tuAnacheza namba ngapi kwani huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Seno ni Lawyer?????Ngoja sasa aje na nondo za kuwabana kwenye sakata la morrison
Sasa ulitaka viongozi watoe barua ya kumuomba senzo abadili maamuzi ili muwacheke viongozi wa simba scWalitaka sana asepe huyu jamaa. Huyu njemba ni kichwa sana. Alizuia mambo ya ovyo pale simba. Viongozi wengi wapigaji walikuwa hawamtaki pale clubuni ksbb alikuwa anaendesha mambo kisasa kwa hiyo alizuia upigaji. Ukitaka kujua hilo wewe soma hiyo taarifa kwa umma ilivyokaa kikuda kuda,imekaa kibwege bwege,yaani kama mtu binafsi anaeandika hiyo taarifa. Imekaa kutaka kumshutumu hivi. Viongozi waliokuwa hawamtaki wamefurahi kujiuzuru ndio maana fasta wamejibu haraka kujiuzuru kwake.