Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Naona Malima Ndelema wa TBC ameshindwa kujizuia aliporudishiwa matangazo studio, amerudia kama mara tatu hivi kusema kuwa BAHATI NZURI Azam wamefungwa na Simba !!
 
hawa mapuga wawili ni chama lao moja ni mtu na kivuli chake wacameroun hawa
 
Big up mnyama tunawaombea maandalizi mema mechi ya neextweek inchini rwanda.ushindi ni jadi ya simba kwenye mechi kama ya leo
 
yaani nilivyo na raha ukiweka hata nukta kwenye huu uzi nakugongea like
 
Damu nyekundu ndio Simba sports club chama kubwa ukibadilisha damu lazima upate nyekundu ya Simba, kuweka ya Njano huo ni usaha utajipatia Maradhi bure.
 
Back
Top Bottom