Yule huwa hajifichi ataibuka tu...Balantanda itabidi atafutwe kwa tochi...!!!
Safi sana: tumewakata kilimilimi, wapi Balatanda!!!!!!!
Naona Malima Ndelema wa TBC ameshindwa kujizuia aliporudishiwa matangazo studio, amerudia kama mara tatu hivi kusema kuwa BAHATI NZURI Azam wamefungwa na Simba !!
Simba still leadind to 2goals to NIL
Bora .. turudi tunapostahili (kileleni).
yap kile ndio kiti chetu
naona unakenua tuu leo..
Damu nyekundu ndio Simba sports club chama kubwa ukibadilisha damu lazima upate nyekundu ya Simba, kuweka ya Njano huo ni usaha utajipatia Maradhi bure.