Full time Kiyovu 1: Simba 1, Maandalizi ya timu zetu za bongo kwenye mechi za kimataifa bado ni yazima moto
 
Ahhhhhhhhh vipi tena! Anyway draw ya ugenini sio mbaya saaaaaaaaaaana
 
Du! Thread yas Simba wameondoa STICKY kuitafuta tabu kweli, sijui baadhi ya MODs ni magamba?
 
Du! Thread yas Simba wameondoa STICKY kuitafuta tabu kweli, sijui baadhi ya MODs ni magamba?

sio mara ya kwanza kuitoa kuna mod mmoja ni Yanga bai ana matatizo kweli kweli ..invisible ndiye ukimuomba anairudishaga..sasa sijui anapata raha fgani kuweka stick thread ya man city huku akiiondoa ya mnyama
 
Yanga wamepigwa kamoja na walipewa kadi nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…