Bra kilimasera kuna thread kwa jina la Simba Sport Club Special ina kila kitu kuhusu mnyama, karibu kule bra najua wewe ni mmoja wa wafuasi la chama kubwa
thanx mzee nimekaribia!
 
Nitakuwepo pia...nitavaa fulana nyekundu. lol.
 
big up mwana.
 
nasikia eti Radio One na ITV wamegoma kutangaza habari za mnyama wa msimbazi, nimepata habari kua eti wanaumia roho kuona maendeleo ya club hii kongwe ya mtaa wa msimbazi.
 
Itabidi uongozi wa Simba uongee na serikali ili hiyo mechi ipigwe kwenye uwanja wa taifa. Nitajitahidi nikuone bra Sinka

kwa taarifa yako ni Yanga pekee ndio yenye kiburi hicho....

Si Simba, JKT Ruvu, Kariakoo Lindi, au mji Mpwapwa wenye kiburi cha kuchezea uwanja mpya.
 
Unaposema Yanga wana kiburi cha kuchezea uwanja mpya, unamaanisha kugoma kucheza/kuweka mpira kwapani? πŸ˜€
 
Kwa kwa kwa kwaaaaaa
Wajomba nasikia kuna mwaka mliwahi kudaiwa chapati 20 na Kaduguda?

Bwaha hah hah hah hah haaaaaaa
 
hahahahahaha inawezekana ila imebaki historia tu kwa sasa. Simbaaaaaaa hoyee
 
Unaposema Yanga wana kiburi cha kuchezea uwanja mpya, unamaanisha kugoma kucheza/kuweka mpira kwapani? πŸ˜€

Ni timu pekee ambayo imenunuliwa na mafisadi na nchi yenyewe unaiona what do you expect? we timu hadi lundenga, minjino (mwenyekiti wao), kawawa, manji, mengi, rostam

kuna mapapa na nyangumi wote huko... chomba is right on this one
 
Kwa kwa kwa kwaaaaaa
Wajomba nasikia kuna mwaka mliwahi kudaiwa chapati 20 na Kaduguda?

Bwaha hah hah hah hah haaaaaaa

Invisible Unariona hiri Rimjamaa rinakejeri Timu yako ya Simba? Naomba Uripe Ban katika hiri jukwaa retu tukufu la wanazi wa Simba
 
riache tu aisee.... wengine watu wa pwani humu kwahiyo akija kuachia ushuzi huku sie twaunywea kahawaπŸ˜€... msiniondolee waridi hiloπŸ˜€ (joke)πŸ˜€
 
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana
 
Kiongozi mambo niaje,pole na game ya jana aisee
 
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana
ALIPEWA NA AKINA MIKE... hukumbuki siku ile akalewa pale brake point hadi akaanza kulia?
 
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana

Kaka Ngoja tuzichange za Milangoni tutakarabati tu si unajua sisi Mgao wa Kagoda haukutupia, Nyinyi Kandambili matajiri bana maana kuanzia Mafisadi Papa hadi Mafisadi Nyangumi yanatoa Msaada! Ngoja Ligi ikiisha tutatumia pesa ya Zawadi ya Mshindi wa Kwanza Kufanya Ukarabati
 
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana

Mkuu tunakuahidi kwa heshima zote kwamba tutaanza ukarabati pindi serikali itakapoamua kwa dhati kupambana na ufisadiπŸ˜€
 
sema wewe kiazi, nikisema mie muhogo nina mizizi😱 ...manji kalamba billioni, kawapakia rangi, weka kwenye ndege kutembeza muafaka, kalawaza muna pale dodoma kwisha!!!

Hadithi ya yanga na manji ni kama ya fataki na vitoto vya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…