kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Thanx mzee kwa taarifa nimekaribia mzee tupo pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanx mzee nimekaribia!Bra kilimasera kuna thread kwa jina la Simba Sport Club Special ina kila kitu kuhusu mnyama, karibu kule bra najua wewe ni mmoja wa wafuasi la chama kubwa
Wachezaji wa timu ya Simba wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuendeleza wimbi lake la ushindi wa mfululizo baada ya kuihukumu Prisons ya Mbeya tatu, na kuwaruhusu wahukumiwa hao kupata kamoja tu kwa kukimbia kiwanjani.
Magoli ya Simba yalifungwa na Mussa Hassan 'Mgosi' aliyefunga mabao mawili na Nico Nyagawa aliyefunga moja wakati lile la kufutia machozi la Prisons lilifungwa na mchezaji Misango Magae na hivyo, badi mwisho wa mechi, Simba 3 Prison 1. Timu hizo zilikipiga katika uwanja wa Uhuru. Timu ya Simba SC ilimaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania kwa kuweka rekodi ya kutokufungwa mechi yoyote. Katika mzunguko wa pili, Simba imegeuza upande wa pili wa wembe na kuendelea kunyoa vipara kila timu wanayokutana nayo.
Ingewezekana, Liverpool FC, ingekopa tuushindi tudogo tokakwa Simba walao tuwasaidie kuepa hili balaa la kichapo wanachosiribwa 'left and right' katika msimu huu wa soka la Uingereza. mwe!
Heko Simba Sports Club!
Itabidi uongozi wa Simba uongee na serikali ili hiyo mechi ipigwe kwenye uwanja wa taifa. Nitajitahidi nikuone bra Sinka
Unaposema Yanga wana kiburi cha kuchezea uwanja mpya, unamaanisha kugoma kucheza/kuweka mpira kwapani? 😀kwa taarifa yako ni Yanga pekee ndio yenye kiburi hicho....
Si Simba, JKT Ruvu, Kariakoo Lindi, au mji Mpwapwa wenye kiburi cha kuchezea uwanja mpya.
Kama ni Kiburi cha kufungwa na FC Lupopo kwenye uwanja wa Taifa sawa ila kama ni kiburi kingine umelala doro GCkwa taarifa yako ni Yanga pekee ndio yenye kiburi hicho....
hahahahahaha inawezekana ila imebaki historia tu kwa sasa. Simbaaaaaaa hoyeeKwa kwa kwa kwaaaaaa
Wajomba nasikia kuna mwaka mliwahi kudaiwa chapati 20 na Kaduguda?
Bwaha hah hah hah hah haaaaaaa
Unaposema Yanga wana kiburi cha kuchezea uwanja mpya, unamaanisha kugoma kucheza/kuweka mpira kwapani? 😀
Kwa kwa kwa kwaaaaaa
Wajomba nasikia kuna mwaka mliwahi kudaiwa chapati 20 na Kaduguda?
Bwaha hah hah hah hah haaaaaaa
riache tu aisee.... wengine watu wa pwani humu kwahiyo akija kuachia ushuzi huku sie twaunywea kahawa😀... msiniondolee waridi hilo😀 (joke)😀Invisible Unariona hiri Rimjamaa rinakejeri Timu yako ya Simba? Naomba Uripe Ban katika hiri jukwaa retu tukufu la wanazi wa Simba
riache tu aisee.... wengine watu wa pwani humu kwahiyo akija kuachia ushuzi huku sie twaunywea kahawa😀... msiniondolee waridi hilo😀 (joke)😀
ALIPEWA NA AKINA MIKE... hukumbuki siku ile akalewa pale brake point hadi akaanza kulia?Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana
Kiongozi mambo niaje,pole na game ya jana aisee
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana
Hivi Kadu alirudishiwa hela yake ya Chapati 20??,halafu hivi yale mabifu ya Simba wa Yuda na Mwanamuziki Dalali yameishia wapi??...Simba fanyeni jitihada mlikarabati jengo lenu basiii..chafu sana bana
sema wewe kiazi, nikisema mie muhogo nina mizizi😱 ...manji kalamba billioni, kawapakia rangi, weka kwenye ndege kutembeza muafaka, kalawaza muna pale dodoma kwisha!!!Kaka Ngoja tuzichange za Milangoni tutakarabati tu si unajua sisi Mgao wa Kagoda haukutupia, Nyinyi Kandambili matajiri bana maana kuanzia Mafisadi Papa hadi Mafisadi Nyangumi yanatoa Msaada! Ngoja Ligi ikiisha tutatumia pesa ya Zawadi ya Mshindi wa Kwanza Kufanya Ukarabati