Ubingwa kwa Simba ulikuwa ni ''automatically'' hongereni sana wanamsimbazi.
 
Points Simba 59,Azam 53 na Tunawasubiri Yebo Yebo Keshokutwa ili furaha ya ubingwa iwe nzuri na nextweek tuendelee kutesa kwenye mechi ya Kimataifa.Mungu ibariki timu ya Simba ifike mbali kwenye michuano ya kimataifa
 
Simba Bingwa 2012 kabla ligi haijaisha. Kama Real Madrid walah. Jumapili tunakijaribu kikosi chetu cha pili kucheza na wakuda wa jangwani. Kikosi cha kwanza kitakuwa kinafanya mazoezi ya ligi za Wanaume Wenzentu.

Hahahahaha ODM
 
Simba timu funga huyo yebo yebo gaol 2 tu zinamtosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…