Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
upande wa simba 😛ound::biggrin1::dance::laugh::clap2::A S 41::bounce:😎:love::smile-big::wave: :first:
kwa yanga :mmph::angry::redfaces::whoo::confused3::A S 20::confused2::shut-mouth::nimekataa😕:doh::crying::frusty::faint2::A S-confused1: :third:
Leo masumbwi yanahamia Jangwani.
Big up wana Simba wote....
Dah!!!.....
Hii ni FEDHEHA sasa.....
Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....
Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...
Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....
Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....
Kila la heri katika CAF CL........
Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...
Bala.
...BJ nilikuwa nahisi nawe ni mtu wa Msimbazi kwa mnyama sasa nimeupata uhakika....leo kule jangwani lazima bakora zitembee.
Dah!!!.....
Hii ni FEDHEHA sasa.....
Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....
Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...
Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....
Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....
Kila la heri katika CAF CL........
Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...
Bala.
Big up wana Simba wote....
majonzi uwanjani ..msemaji wa Yanga atoka nduki
[video=youtube_share;hI0pElqpoa4]http://youtu.be/hI0pElqpoa4[/video]