hivi Simba kulikoni Uwanja wa Taifa mechi tatu za mwisho matokeo yake ni hivi

1-Simba vs Azam 1-3
2-Simba vs Nairobi City 1-3
3-Simba vs Sofapaka 0-3

kweli mwaka huuu tutafika!!!
 
hivi Simba kulikoni Uwanja wa Taifa mechi tatu za mwisho matokeo yake ni hivi

1-Simba vs Azam 1-3
2-Simba vs Nairobi City 1-3
3-Simba vs Sofapaka 0-3

kweli mwaka huuu tutafika!!!

Tutafika tu wala hutakiwi kuwa na wasi wasi.
 
Mfike wapi simba maneno mengiiiiii kuliko kasuku. Tatizo ni Rage anaongea kama amekula wali kwa dengu. Na tukikutana na nyie (sisi yanga) mtajuta

Mkuu tarehe tatu sio mbali sana tena mimi nasema hatufungwi hata kwa goli moja acha ile ya kurudisha matano
 
Mimi nakumbuka jinsi City Council walivyoharibu Nyau Day.

Sasa ndugu zao nao wakaona waje kujitafunia dengu. Simba anarembua
 
hivi Simba kulikoni Uwanja wa Taifa mechi tatu za mwisho matokeo yake ni hivi

1-Simba vs Azam 1-3
2-Simba vs Nairobi City 1-3
3-Simba vs Sofapaka 0-3

kweli mwaka huuu tutafika!!!
Tutafika tu:
We ukumbuki EPL- kwenye mechi za kirafiki kabla ya msimu ulioisha (mwaka jana) MAN U ilichachafya kila tmu iliyokua inakutana nayo ikiwemo na BARCA iliyopigwaa 2-1 kama sikosei alafu ligi ilipoanza MANU ilishindwa kubeba ndoo badala yake MAN CITY wakasherekea!!!! sasa kinyume chake itakuwa ni hivyohivyo kwa SIMBA wakati YANGA wakibaki wamekodoa mimacho tu.
 
aiseee ni kweli simba mnataka kujitoa ligi kuu semeni basi maana hayo ni maneno ya bin zubeiry..
 
jamani tiketi nitapata wapi? Na kiingilio ni tsh ngapi?
 
kikosi cha Simba kwa leo ni: Kaseja, Chollo, Maftah, Kapombe, Ocheng, Kazimoto, Ngasa, Chombo, Boban, Akuffo na Okwi; kikosi cha Azam atawatajia Ndetichia kwenye jukwaa lao.
 
MBUYU Twite na KELVIN Yondan waidhinishwa kuchezea Mabingwa wa Africa Mashariki na kati kwa miaka miwili mfululizo . Dar es Salaam YOUNG Africans
 
Tehetehetehete..............Simba :sleepy: 000 -- Azam 1 hadi raha....tehetehete kwiwkwiwkwiwkwiwiwwwwiiiiii
 
Simba mko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? Jamani hamuonekaniiiiiiiiiiiiii:A S cry::spy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…