Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washachapwa kingine
John Bocco leo wapige goal nne, ntajitolea hata my wife wangu uonje kidogo :lol:
Mpe hata hayo masaburi yako....John Bocco leo wapige goal nne, ntajitolea hata my wife wangu uonje kidogo :lol:
Maana siyo sehemu ya mpira kama mabeki wao wanadaka unataka tupewe nini..Naona mmeanza kupewa penati kama kawaida?
Mpe hata hayo masaburi yako....
Hahahahaahah...nimefuta.....Hahaha. Hebu futa povu mtani alafu tutaongea khaa!
Subiri dakika 90 ndiyo ufungue hilo domo lako............Azam 2 - 0 Simba . Goli la pili katupia Kipre TcheTche kazi nzuri ya Boko.....teheteheteh. Raha kutangaza matokeo ya mwenzako hasa kama kazalishwa!!!!!!
Mtani upo....Hahaha. Hebu futa povu mtani alafu tutaongea khaa!
Ngapi ngapi?....................hATIMAYE sIMBA 1 - 2 KWA aZAM
hahahahahahahaah....wameanza kulikimbia jukwaa.......Ukitema mate juu lazima yarudi Chini...
Crashwise: atleast now we can make a talk.