Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Azam 2 - 0 Simba . Goli la pili katupia Kipre TcheTche kazi nzuri ya Boko.....teheteheteh. Raha kutangaza matokeo ya mwenzako hasa kama kazalishwa!!!!!!
 
Azam 2 - 0 Simba . Goli la pili katupia Kipre TcheTche kazi nzuri ya Boko.....teheteheteh. Raha kutangaza matokeo ya mwenzako hasa kama kazalishwa!!!!!!
Subiri dakika 90 ndiyo ufungue hilo domo lako............
 
Simba 3 na Azam Fc 2 goli la simba limefungwa na Mwinyi kazimoto
 
...Ukitema mate juu lazima yarudi Chini...
Crashwise: atleast now we can make a talk.
 
ki-mchezo na kiufundi Simba wanacheza vizuri, ila nashangaa style wanayotumia Azam - mpira unatoka kwa kipa 'Dida' mara hoo muda huohuo tayari unakua umemfikia Kaseja. ..what kind of playing bwana!!!.
 
Back
Top Bottom