Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wakuu mpo wapi jamani, game itakuwa imeanza sasa au ?? masuke & co leteni uondo..!!
 
Naona leo kimya kabisa jamani mlioko uwanjani vipi mbona kimya, halafi hizi radio zetu hamna inayotangaza leo duh
 
Hili chama siku hizi sijui vipi, hivi hakuna hata wa kutupa list na updates detailed kidogo kama Balatanda wa Yanga kweli ?? Hata website ya simba ni aibu tupu, na rage kila siku yupo ktk Fiesta za CCM... !! ggrrrrr #%^&
 
Mtandao si mzuri kwa upande wangu wakuu ndo maana Updates zimekua haba....... lakini OKWI mpaka muda yuko nje kapewa Red-Card.
 
bado tunakosa nafasi nyingi sana ukizingatia tunajiandaa kwa mashino ya kimataifa tunapswa tujirekebishe..
 
Simba mbili na Magereza wamepata moja, Magoli ya simba yamepatikana kupitia kwa Sunzu na Ngassa. Hongera wachezaji wa Simba na viongozi wake
 
naona mbeleko FC wamepewa red mkifungwa na yanga mseme ni miango..
 
Back
Top Bottom