pls simba sports club pull up .tunataka ushindi
ni angola babies..
kwa vyovyote vile ata tukichomoa, hiki kikosi chetu si cha kutupa matumaini.Naona dakika zinayoyoma inataka kula kwetu hii ni mbaya sana sijui ndo 90' tutachomoa
kwa vyovyote vile ata tukichomoa, hiki kikosi chetu si cha kutupa matumaini.
huyu kocha sioni kama ana cha ziada...ni bora tungeendelea kuwa na Prof..wetu: imagine anamtoa Boban anamuingiza Salumu Kinje!!!! kuna nini hapo tena.tumeanza vibya ktk michauano hii lazima .wachezaji wajitambue wafanye juhudi katika mazoezi na kushika mafundisho ya kocha
huyu kocha sioni kama ana cha ziada...ni bora tungeendelea kuwa na Prof..wetu: imagine anamtoa Boban anamuingiza Salumu Kinje!!!! kuna nini hapo tena.
kuanzia kwenye Usajili wa wachezaji, Benchi la ufundi, na uongozi kwa ujumla ni matatizo matupu: aliuzwa OKWI na kumnunua KIPA ambaye atumiki hii ni akili gani hii.Usajili wetu mwaka huu ni mbovu ni mara mia atumie vijana chipukizi kwa kuwatayarisha misimu inayokuja.Kinje hana mpira wa kumzidi Boban