PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
Of coz - lazima tujipe matumaini one goal to nil is not a big deal; kwao tunaweza kuwangaza endapo Sunzu na Edward Christopher kwenye hiyo mechi wakipewa nafasi.Tujipe matumaini kwao Angola tunaweza kuchomoa na kuingia hatua ya pili