Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Tujipe matumaini kwao Angola tunaweza kuchomoa na kuingia hatua ya pili
Of coz - lazima tujipe matumaini one goal to nil is not a big deal; kwao tunaweza kuwangaza endapo Sunzu na Edward Christopher kwenye hiyo mechi wakipewa nafasi.
 
Hivi hii soccernet imeingia virus ? tokea jana kila nikifungua matokeo na time zao haziendani hata leo huku Game zishaisha Liverpool kashinda kwa Taabu lakini site inasema bado hawajacheza

cGWN7EBDBHAAAAAElFTkSuQmCC
 
magazeti ya kesho,
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!
 
Simba sports club tupeni raha wanamsimbazi hapo kesho.Wachapeni hao waangola huko huko kwao .Mkicheza kwa pamoja mnaweza na mtashinda mkiwa na juhudi uwanjani
 
Jamani leo mnyama anashuka uwanjani na Kagera Sukari huko uwanja wa Kaitaba. Naiombea Simba ishinde angalau ninywe safari zangu kwa furaha. Crashwise na wanasimba wote karibu tuombe pamoja. Balantanda mtani na wewe leo utuombee tushinde sio kila siku unatuombea njaa tu.
 
magazeti ya kesho,
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!

Hatari sana sheikh!
 
Back
Top Bottom