Nimesikia kapgwa vipande vya samaki....kichwa,tumbo na mkia
 
Lengo la hii mechi sio kupata ushindi, ingawa ushindi ingekuwa nzuri zaidi. Lengo ni kupima wachezaji wapya na mifumo. Wachezaji karibu wote 22 na kitu walijaribiwa.
 
Nisaidieni jamani,hivi huyo kocha ameshaona ubingwa itakua kazi kupata au ni hasira ya kupewa mkataba mdogo.Atatoaje ahadi kama hio kwa soka la bongo.Makubwa.
 
Hakuna kocha yeyote duniani anayweza kutoa kauli kama hiyo. Hizo ni tafsiri za waandishi wa magazeti kwa kauli anayoweza kuwa ameitoa kuhusiana na kuridhishwa na kikosi chake. Lakini abadan hawezi kusuma hivyo. Hivyo ndivyo waandishi wetu walivyo, kuchonganisha jamii kwa kujali mauzo yao, ili mradi kichwa cha habari kinavutia na habari yenyewe inauzika kwa kutia maneno yao midomoni mwa wasemaji, siku zinasonga.
 
Nisaidieni jamani,hivi huyo kocha ameshaona ubingwa itakua kazi kupata au ni hasira ya kupewa mkataba mdogo.Atatoaje ahadi kama hio kwa soka la bongo.Makubwa.

Tayari kashafukuzwa! Kinachosubiriwa ni muda tu kombe liende Jangwani na yeye atimiziwe ahadi yake. Alipoifunga Yanga katika mechi ya 'Nani Mtani Jembe' alichekelea na kutangaza kuwa 'Kwa Simba hii hakuna atakayeifunga', kamaliza ligi nafasi ya nne nyuma ya Mbeya City, timu ngeni katika ligi. Leo tena kaibuka na kauli kama hii, huyu ni sikio la kufa!
 
Ivi awa jamaa wa Simba wamekumbwa na nn

Nikiwa mpenzi wa Simba nasikitika sana. Simba itabadili makocha mara ngapi? Tatizo la Simba ni safu ya ulinzi kwa kipindi kirefu sasa ni mbovu sana. Simba ikatafute mabeki mikoani waache uvivu. Naomba ushauri huu waupate vongozi wa Simba.
 
Kwa usajili uliofanyika mwaka huu....aina ya wachezaji tulio nao...uongozi...mshikamano miongoni mwa wachezaji na hamas iliyorejea kwa mashabiki ukijumlisha na kocha fundi tuliyenae wapinzani wajipange tu msimu huu..
 
Vipi wapinzani bado wajipange tu?
 
Jamani mbona mvua haijanyesha Leo....tutatoka kweli? lol....
 
Wale mashabiki na wapenzi pamoja na wanachama tukutane hapa tujadili mafanikio changamoto
Tushauri na ikipidi kutoa suluhisho kwenye changamoto mbali mbali zihusuzo timu yetu ( YANGA HAPA HAPAWAHUSU)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…