grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Wakuu tuongee ukweli...
Mpira kuchezwa dakika 101 ni halali au kuna dalili za manunuzi ya matokeo?
Baada ya dk 90 kumalizika refa aliongeza dk 7, tujiulize kulikuwa na matukio gani na ni mangapi yaliyosababisha kuongezwa kwa dk zote hizo?
Kama haitoshi dk 7 zimekwisha mpira ukaendelea mpaka dk ya 98 ndipo Kelvin Yondani alipopewa kadi nyekundu.
Natoa rai kwa timu zote pamoja na timu yangu ya Simba kuwa mnapocheza na Yanga jiandaeni kucheza kwa dakika zaidi ya 100 badala ya 90 hasa kama mmeshaifunga Yanga. Maana juzi kama Coastal Union wasingekuwa wameandaliwa vizuri yale magoli yalipangwa kurudishwa ndani ya dk 10 za mwisho na kuongezwa mengine kwenye dk za nyongeza za mwamuzi ambazo huwa hazifahamiki ni ngapi.