FYIYANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016
alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
Nasikia ati leo huu uzi unaitwa Al Ahly Special Thread kwa muda....Za asubuh wapendwa ,, mnyama daima,,, simba inogile,, tukumbuke leo kuna marafiki zetu toka misri,, simba wa misri,, sio mbaya tukawasapoti
Ni shida nyingine yanga walikalia viwili mtungi Simba viwili kwa moja...Coastal bhana!
Kufungwa kwingine siyo kuzuri.Ni shida nyingine yanga walikalia viwili mtungi Simba viwili kwa moja...
tatizo Simba hataki kununua marefa kama anavyofanya yanga...Kufungwa kwingine siyo kuzuri.
Bora kwenye ligi utakomaa kukompaseti, sasa huko mlikobamizwa ndiyo safari. Mnaendelea kubaki matopeni.
tatizo Simba hataki kununua marefa kama anavyofanya yanga...
umeona ehhh...Unaakili sana mtoto wa dawa...wewe nawe ni kilaza
msijaze kwenu mnakimbilia kwetu..FYI
Hizo views nyingi ni sisi mashabiki wa Yanga tumezijaza maana mmezidi kuwa vibonde mno
umeona ehhh...Unaakili sana mtoto wa dawa...
ya mwaka gani? hiiMmeshaanza
Simba nguvu moja!!!Leo point 3 muhimu
Halina ubishiiiSimba nguvu moja!!!