Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
YANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016

alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
FYI
Hizo views nyingi ni sisi mashabiki wa Yanga tumezijaza maana mmezidi kuwa vibonde mno
 
  • Thanks
Reactions: Lee
...ligi kuu inaendelea lini?mnyama atakua lini uwanjani vs nani?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Za asubuh wapendwa ,, mnyama daima,,, simba inogile,, tukumbuke leo kuna marafiki zetu toka misri,, simba wa misri,, sio mbaya tukawasapoti
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Za asubuh wapendwa ,, mnyama daima,,, simba inogile,, tukumbuke leo kuna marafiki zetu toka misri,, simba wa misri,, sio mbaya tukawasapoti
Nasikia ati leo huu uzi unaitwa Al Ahly Special Thread kwa muda....

Mtaumia bure nyau fc kwa yasiyowahusu
 
Kufungwa kwingine siyo kuzuri.

Bora kwenye ligi utakomaa kukompaseti, sasa huko mlikobamizwa ndiyo safari. Mnaendelea kubaki matopeni.
tatizo Simba hataki kununua marefa kama anavyofanya yanga...
 
Mmeshaanza
 

Attachments

  • 1461046222262.jpg
    1461046222262.jpg
    33.1 KB · Views: 79
Back
Top Bottom