Mpiraaaaaa umeeeeeeeekwiiiiiiiiiiishaaaaaaaaaaaa....simba mnyama anaongezaaa alama 4 zaidiiiii
 
Kwa Simba Hii Nalala Kwa Amani Kabisa Siku Hadi Siku...... Wacha Vyura FC waendelee Kuweweseka Wakati Mnyama Anaendelea Kushine 😀😀😀
 
Jana alicheza vizuri sana, hakika Simba dirisha dogo tulilitendea haki kipa wetu ni wa kiwango cha juu...siyo kwasababu kadaka penati bali ukimwangalia anavyodaka ukamlinganisha na tuliyemfungashia vilago utagundua huyu kipa ni Wa kimataifa
anachonikosha hatemi ovyo
 
*HAYA TENA KWA MARA NYINGINE TENA BAHATI HAIJI MARA MBILI* *JE, WAJUA BANDO NA SIMU YAKO NI MTAJI TOSHA?*Kama huna ajira na unataka kuongeza kipato chako *Furusa hiyo fungua link hii http://jamiiforums.com/?refcode=102945
ujipatie pesa haraka sana kuliko kupoteza bando bila faida yoyote jaribu sasa uwaambie na members wengine watumie furusa hii*
 
1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…