Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umekwisha kwa 0-0Update za mechi vipi tujuzane wakuu
Ni James Kotei mkuuMchezaji bora Wa mechi ni Mwajare...
Jana alicheza vizuri sana, hakika Simba dirisha dogo tulilitendea haki kipa wetu ni wa kiwango cha juu...siyo kwasababu kadaka penati bali ukimwangalia anavyodaka ukamlinganisha na tuliyemfungashia vilago utagundua huyu kipa ni Wa kimataifaNi James Kotei mkuu
anachonikosha hatemi ovyoJana alicheza vizuri sana, hakika Simba dirisha dogo tulilitendea haki kipa wetu ni wa kiwango cha juu...siyo kwasababu kadaka penati bali ukimwangalia anavyodaka ukamlinganisha na tuliyemfungashia vilago utagundua huyu kipa ni Wa kimataifa
Asante.Hongera Mnyama kwa kutwaa kombe la mapinduzi 2017
Hongera Mnyama kwa kutwaa kombe la mapinduzi 2017