nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Droo au kufungwa kwa aly ahly ni hatari kwetu, maana atatukamia ili apate point kupitia sisi gem ijayo.
Nimecheki ratiba hapa vita anamechi mbili mfululizo za nyumbani natamani ingekuwa ndo sisi simbaKwa kweli JS Saoura wamecheza vizuri sana nyumbani kwao. Tusifikiri tunakwenda kwao na kuchukua points kirahisi. Tupambane kweli. Cha muhimu ni kushinda nyumbani na kupambana kupata ushindi au sare ugenini.
Kwa kifupi unaona tofauti ya kiwango cha mchezo kwenye hii ligi na kuangalia mipira yetu ya ligi. Wachezaji wana viwango vya hali ya juu. Kazi ipo.
Kikos
Kipana.
Mmejua maana yake.
Nyie, Ndezi,
No.
Tezi.