ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujapata matokeo tu..Matokeo yanasemaje?
Ngapi ngapi?
Wekundu mbona kimya hivyo kuna nn national main stadium?
MCHEZA KWAO, HUTUZWA!!!
juu hii month ni official for red colour so kama uko na rangi kama mlenda pita kuxhoto den kata kulia tukutane feb 16[emoji23][emoji23][emoji23] wafanye kumchukua kama mke sie tushawaachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah basi tangu mmefunga mna maneno mengi kweli kweli. Juz ile mlikua kimya kama mmemwagiwa maji. Ila uzalendo kwanza hongeren watanijuu hii month ni official for red colour so kama uko na rangi kama mlenda pita kuxhoto den kata kulia tukutane feb 16
Kama wewe ulivyokuwa na maneno kila tunapofungwa, acha ujinga kaa na wivu wako utashtukia tumefuzu.Hahah basi tangu mmefunga mna maneno mengi kweli kweli. Juz ile mlikua kimya kama mmemwagiwa maji. Ila uzalendo kwanza hongeren watani
Sent using Jamii Forums mobile app