Changudoa hapigwi bao nyingi limoja tu unampa hela yake unasepa!Ila bado ni aibu kwa kagoli kamoja kwa yanga hii iliyochoka daah.
Yanga daima hapa
Changudo anapigwa kimoja tu umpige nyingi kwan mkeoHawa waarabu wa Jangwani tuwaipige ngapi??
Mikia kelele nyingi ila uwezo mdogo sana
Matokeo ya jana yameamuliwa na bahati na si kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app
Au namna ya Kuitafuta....humu JFWakuu mwenye ile Picha jamaa kashika Lisindano Kuuuubwa kavaa Miwani naiomba,,,,watulie Dawa iingie....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipoze na Pepsi Big mkuu... Simba imekulamba takoMikia kelele nyingi ila uwezo mdogo sana
Matokeo ya jana yameamuliwa na bahati na si kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app
19/02/2018: African Lyon
Uwanja: Sheikh Amri Abeid Arusha
Muda: Saa 10.00 alasiri