MULEMULE
offtime 0:0,Niko mbali na TV, naombeni kujua hadi sasa Simba ashafungwa ngapi? [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mbali na TV, naombeni kujua hadi sasa Simba ashafungwa ngapi? [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mrejesho nilipata kizunguzungu,nkaenda kupumzika
3 bila tumewapiga mkuu
Wasubiri 'vumbi la lubumbashi'.nipe mrejesho nilipata kizunguzungu,nkaenda kupumzika
Nimeota tumepigwa 2-0Mimi ni mwana yanga ila nawatakieni kila la heri simba,michuano yote hii ya CCL nimekuwa nikiwashangilia.Sitashangaa kesho Simba akamuondosha Mazembe siyo kwa kumfunga ila kwa 1-1,2-2,nk