Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Mlomuua kafufuka mkuu sasa mmetwanyikia wapi?Mapema tu, tumeua mtu. Mungu ibariki Tanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlomuua kafufuka mkuu sasa mmetwanyikia wapi?Mapema tu, tumeua mtu. Mungu ibariki Tanzania!
Ha ha haaa we jamaa wewSimba walimfanya hiki mazembe dar.... Kilichowakuta lubumbashi.. View attachment 1070622View attachment 1070623
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hadi draw imewashindawanasimba mimi nataka mruke mrukavyo ila droo ya magoli mimi nitaridhika Tanzania nayo iheshimike Africa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mngekuwa nyie ndio mmefika robo fainali.. nafikiri mngechangisha watu bakuli kwa nguvu.yaani hadi draw imewashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto yako na ya kwangu zote ziliukosa "Mkeka"!!!
Ndoto yako na ya kwangu zote ziliukosa "Mkeka"!!!
Waarabu wa Morogoro wamechezeshwa 8 Mchana lakini wamepata matokeo.Uzi kimyaaa! Msimbazi kumejaa vumbi la Congo yaani hawaonani kudadeki!
Huwezi kujua alieko mbele yako ni Manara au Boo koo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema?
Hatujawafikia YangaMikia FC aka Manunuzi FC leo yamefeli.
Havitachacha vyote nilichogundua fatiki inawatesa wachezaji ikumbukwe wameingia bukoba siku moja kabla ya mechi ila si mbaya tutafanya vzr point 9 za kanda ya ziwa uhakika niamini ninachokwambiaFT: Kagera 2 - 1 Simba
Viporo vyetu tuwe navyo makini... Next ni ALLIANCE pale Kirumba.
Simba nguvu moja