Asee hilo li tariq seif Kiakala kila pande ya uwanja lipo,hadi kwenye kufunga lipo. Hatari sana. Li Nchimbi sijui limejificha wapi,na kuna lile li ivory coast sijui kabeki ketu ka wawa na uzee wake katafanyaje siku hyo.
Kisa haka ka timu ka simba kenye vichezaji vya magazetini kama akina Mzee mapung'o, Meko, Comrade Kipepe, Bob Mazishi na wenzao?
Niyonzima siyo lazima acheze,wachezaji waliopo wanatosha kuwasulubisha hapo kesho kutwaPamepoa sana hapa, kule kwa watani naona pako moto kila mara wanaulizana Niyonzima kafika wapi?
Pamepoa sana hapa, kule kwa watani naona pako moto kila mara wanaulizana Niyonzima kafika wapi?
Hafungwi Kabwili, inafungwa timuLazima papoe... Midomo midomo sana halafu mkiingia uwanjani hamna kitu... Kuna wajing leo wanasema Yanga anakula Tano??? Kama Ramadhan Kabwili tu mlishindwa kumfunga hizo tano, Mtamfunga nani sasa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiraka?View attachment 1311116
Mabingwa wa nchi Simba tumemalizana rasmi na kiungo wa kimataifa wa Mozambique, Luis Jose Miquissone ambae alikuwa mchezaji wa Mabingwa wa nchi hiyo UD Songo. Kiungo huyo tayari amekabidhiwa jezi na kocha wetu mkuu Sven Vandenbroeck kama inavyoonekana pichani. #NguvuMoja Simba Sports Club on Twitter