Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kuna tetesi za kusajiliwa Mwamnyeto ila anabaki Cost union atakuja msimu ujao
Pia usajili wa yule mshambuliaji wa UD SONGO, huyu anakamilisha tu mambo madogo aje Msimbazi.
Kila la kheri Simba dhidi ya KMC leo
 
Asee hilo li tariq seif Kiakala kila pande ya uwanja lipo,hadi kwenye kufunga lipo. Hatari sana. Li Nchimbi sijui limejificha wapi,na kuna lile li ivory coast sijui kabeki ketu ka wawa na uzee wake katafanyaje siku hyo.
 
Lazima papoe... Midomo midomo sana halafu mkiingia uwanjani hamna kitu... Kuna wajing leo wanasema Yanga anakula Tano??? Kama Ramadhan Kabwili tu mlishindwa kumfunga hizo tano, Mtamfunga nani sasa???
Pamepoa sana hapa, kule kwa watani naona pako moto kila mara wanaulizana Niyonzima kafika wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200103_153716.jpg

Mabingwa wa nchi Simba tumemalizana rasmi na kiungo wa kimataifa wa Mozambique, Luis Jose Miquissone ambae alikuwa mchezaji wa Mabingwa wa nchi hiyo UD Songo. Kiungo huyo tayari amekabidhiwa jezi na kocha wetu mkuu Sven Vandenbroeck kama inavyoonekana pichani. #NguvuMoja Simba Sports Club on Twitter
 
Back
Top Bottom