Nikiwa kama mwanachama na shabiki wa Simba nawatakia Yanga ushindi wa bao moja tu kama game lilopita.
 
John Bocco amechaguliwa kuwa mchezaji bora mwezi Juni Medie Kagere amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi Na sisi ndio mabingwa wa #VPL, na sisi tumetinga fainali ya #ASFC, na sisi ndio tutawakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Yani kila kitu sisi 😃 #NguvuMoja https://t.co/vhhrXYKmGH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…