kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Jinsi jamaa alivyotoa update ya kutetea ubingwa hapo juu mtu akiingia humu kwa Mara ya kwanza anaweza akadhani hii timu huwa inashinda kihalali ha ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app