Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka SIMBA, lakini pia tutasajili Mchezaji yoyote kutoka popote 🦁kama mwl wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka wa kishindo hatuna maneno mengi lakini tupo @SimbaSCTanzania” - @moodewji https://t.co/zyWLxgqJ40
 
“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka SIMBA, lakini pia tutasajili Mchezaji yoyote kutoka popote [emoji881]kama mwl wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka wa kishindo hatuna maneno mengi lakini tupo @SimbaSCTanzania” - @moodewji https://t.co/zyWLxgqJ40
THE POWER OF MONEY, unaiona nguvu ya pesa besti

Wangari Maathai
 
“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka SIMBA, lakini pia tutasajili Mchezaji yoyote kutoka popote [emoji881]kama mwl wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka wa kishindo hatuna maneno mengi lakini tupo @SimbaSCTanzania” - @moodewji https://t.co/zyWLxgqJ40
Haya mambo awaachie benchi la ufundi,,

Kwa sasa tuna focus ubingwa wa VPL na azam cup, baada ya hapo ndo ije hiyo mipango,, kuna wachezaki ambao watakuwa nje ya mipango ya kocha hao lazima tuwaachie tu,
 
Mtu akiingia humu kwa Mara ya kwanza halafu akakutana na comments za wana mikia humu anaweza akajua huwa mnashinda kihalali!
 
Good Start....!! Unyama Mkali, Ubingwa ni Wetu hawa Utopolo FC wacha wachongee vinyago
 
20200615_095210.jpg
 
Eti kuna watu wanasema SIKU MOJA MOJA MWANA APASWA KUMLEGEZEA BIBI ILI NDOA YAO IDUMU KWA MUDA MREFU!!
 
Back
Top Bottom