talent wise..anajua sana
Sahihi kabisa ila ajue simba sio kama hao yanga na nadhani kilichomchanganya zaidi ni ile hali ya ukata wa yanga pia hakuna hata motisha zozote.
 
Hawaamini Wanachokionaaa....!!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
BM33 Huna Bayaa
 
Ila jamani huyu Morrison kweli? Isije ikawa mwana kulitafuta....
 
Senzo Mbatha

A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.
 
Vijana wa Mwamedi mnaitwa kwenda kumpokea Lunatic Morrisson,Senzo kaona ujinga kajivua gamba
 
senzo dah,

jamaa ana misimamo yake,,

ishu itakuwa repot ya kocha nani aachwe nani achukuliwe,,
.swala morisson hakuli afiki kabisa,,

tumepoteza mtu muhim sana,,

Kwisha habari yetu

yetu macho na masikio.
 
MO Dewji

Tumetoka mbali na bado safari inaendelea; tumepita mengi Wanasimba wenzangu. Nawaomba Wanasimba wote mtulie. SIMBA SC ni kubwa kuliko mtu moja. Sisi viongozi tunawatumikia usiku na mchana bila kujali maslahi ya mtu binafsi bali SIMBA. Kazi inaendelea, tuko IMARA! 🦁 #NguvuMoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…