Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,470
Sahihi kabisa ila ajue simba sio kama hao yanga na nadhani kilichomchanganya zaidi ni ile hali ya ukata wa yanga pia hakuna hata motisha zozote.talent wise..anajua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa ila ajue simba sio kama hao yanga na nadhani kilichomchanganya zaidi ni ile hali ya ukata wa yanga pia hakuna hata motisha zozote.talent wise..anajua sana
Halaf nahisi wanamsingizia yale yote mbna Morrison mtu poa sana[emoji1]Sahihi kabisa ila ajue simba sio kama hao yanga na nadhani kilichomchanganya zaidi ni ile hali ya ukata wa yanga pia hakuna hata motisha zozote.
Nyie mbona mlimsingizia kuwa jambazi na mwizi wa magariHalaf nahisi wanamsingizia yale yote mbna Morrison mtu poa sana[emoji1]
Ni yeyeeeeIla jamani huyu Morrison kweli? Isije ikawa mwana kulitafuta....
BM sio MwiziNyie mbona mlimsingizia kuwa jambazi na mwizi wa magari
umenena mkuu,Senzo CEO msomi, anaingiliwa kazi na mwalimu nguli wa madrasa
Only in Tanzania