Simba bingwa siku ya leo. Na pia huenda tukatoa mfungaji bora na kipa bora. Kanda2 mpo, leo tunawavua ubingwa.
 
Hongereni sana watani kwa Ubingwa(maana huo ukame mlokuwa nao)....Hongereni sana wakuu
 
Sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Simba Oyee! Simba bingwaaa! Ubingwa huu wa kuupokea mapema mtamu kama fenesi!
 
Kapakeni kwanza rangi jengo lenu...sio mnakurupuka tu

We Castro vipi?? hilo jengo na ubingwa wapi na wapi? tutakuja ishughulikia kwa nguvu ya umma, na kwa kutumia pesa safi ...
 
Kapakeni kwanza rangi jengo lenu...sio mnakurupuka tu

We Castro vipi?? hilo jengo na ubingwa wapi na wapi? tutakuja ishughulikia kwa nguvu ya umma, na kwa kutumia pesa safi ...
 
jamani haya haya ubingwa ndo huooooooooooooooooo,wadau kaeni mkao wa kula nyani,ndege,cathbert,mfumwa,denovo and all simba fans

baraza tayari keshatupeleka mbele
\simba 1-azam 0

hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kidedeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mpaka sasa Simba inaongoza kwa goal moja zidi ya Azam,bado ni kipindi cha kwanza
 
ngoma hivi sasa ni mapumziko matokeo yaleyale

simba 1-azam 0

rahaaaa tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mkuu, ili tuendelea kusherekea inabidi wachezaji wetu wakaze msuli maana inaonekana Azam wamejipanga sana ili kuvuruka sherehe yetu.
 
Hatimae tumeuchukua na wenye wivu wajinyonge. leo mkesha na pilau kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…