TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Muungwana akivuliwa nguo huchutama......
whatever man!!! Simba ni simba tu!!! we are the champs tomorrow.... tisheti tayari na kofia tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama......
Mtani naona unaanza matusi sasa...Hongereni sana watani kwa Ubingwa(maana huo ukame mlokuwa nao)....Hongereni sana wakuu
Kapakeni kwanza rangi jengo lenu...sio mnakurupuka tu
Kapakeni kwanza rangi jengo lenu...sio mnakurupuka tu
Kapakeni kwanza rangi jengo lenu...sio mnakurupuka tu
Game inaendelea Simba 1 Azam 0
Game inaendelea Simba 1 Azam 0
Mkuu, ili tuendelea kusherekea inabidi wachezaji wetu wakaze msuli maana inaonekana Azam wamejipanga sana ili kuvuruka sherehe yetu.jamani haya haya ubingwa ndo huooooooooooooooooo,wadau kaeni mkao wa kula nyani,ndege,cathbert,mfumwa,denovo and all simba fans
baraza tayari keshatupeleka mbele
\simba 1-azam 0
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kidedeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa