Kesho ni simba vs Tanzania prison. Nataka niwajue mapema Simba yupi Tanzania prison yupi.

Tupia comments il i tujuane mapema.
 
TFF nayo wanatuchanganya.

Simba wanacheza kesho, Yanga nao wanacheza kesho.

Mechi ya simba itaanza saa kumi jioni, mechi ya Yanga nayo itaanza saa kumi jioni

Sijui tutaangalia mechi ipi tuache ipi?! Au ndo ile kila watu waangalie mechi yao[emoji2957][emoji2957]
 
mbona unaleta maswali ya kitoto
 
Kivipi mkuu
Simba na Yanga zisicheze wakati mmoja kwa sababu ipi,kwa vipi wao ni spesho?nini watakosa mashabiki na wapenda soka kutokana na wao kucheza wakati mmoja? Azam inarusha game zote. Shabiki anaweza kuchagua.
Labda tuibie kidogo Ulaya. Yaani Man City na Man Utd au giants yeyote wasicheze kwa sababu watachanganya mashabiki
 
Mmh uko Bongo kweli wewe[emoji15][emoji15]
 
Shida iko wapi wakicheza wakati mmoja?
 
ASA wewe Biriani na Magimbi unashindwa nini kuchagua??
 
Leo mnyama akipiga pira biriani plus ushindi mnono mbele ya wajelajela nadharia ya kikosi kipana itapita bila kupingwa
 
ASA wewe Biriani na Magimbi unashindwa nini kuchagua??
Hahaa tunataka kuangalia zote mkuu

Ila nasikia tff wamerekebisha tayari, kwamba simba ni saa kumi halafu yanga saa moja (hearsay)

Kama habari hizi ni kweli, then it's swadakta now[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…