Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kesho hiyoWakuu tunacheza tar 22 na Prinson.
mbona unaleta maswali ya kitotoTFF nayo wanatuchanganya.
Simba wanacheza kesho, Yanga nao wanacheza kesho.
Mechi ya simba itaanza saa kumi jioni, mechi ya Yanga nayo itaanza saa kumi jioni
Sijui tutaangalia mechi ipi tuache ipi?! Au ndo ile kila watu waangalie mechi yao[emoji2957][emoji2957]
Kivipi mkuumbona unaleta maswali ya kitoto
Simba na Yanga zisicheze wakati mmoja kwa sababu ipi,kwa vipi wao ni spesho?nini watakosa mashabiki na wapenda soka kutokana na wao kucheza wakati mmoja? Azam inarusha game zote. Shabiki anaweza kuchagua.Kivipi mkuu
Mmh uko Bongo kweli wewe[emoji15][emoji15]Simba na Yanga zisicheze wakati mmoja kwa sababu ipi,kwa vipi wao ni spesho?nini watakosa mashabiki na wapenda soka kutokana na wao kucheza wakati mmoja? Azam inarusha game zote. Shabiki anaweza kuchagua.
Labda tuibie kidogo Ulaya. Yaani Man City na Man Utd au giants yeyote wasicheze kwa sababu watachanganya mashabiki
Shida iko wapi wakicheza wakati mmoja?TFF nayo wanatuchanganya.
Simba wanacheza kesho, Yanga nao wanacheza kesho.
Mechi ya simba itaanza saa kumi jioni, mechi ya Yanga nayo itaanza saa kumi jioni
Sijui tutaangalia mechi ipi tuache ipi?! Au ndo ile kila watu waangalie mechi yao[emoji2957][emoji2957]
ASA wewe Biriani na Magimbi unashindwa nini kuchagua??TFF nayo wanatuchanganya.
Simba wanacheza kesho, Yanga nao wanacheza kesho.
Mechi ya simba itaanza saa kumi jioni, mechi ya Yanga nayo itaanza saa kumi jioni
Sijui tutaangalia mechi ipi tuache ipi?! Au ndo ile kila watu waangalie mechi yao[emoji2957][emoji2957]
Tafadhali, msiingie uwanjani na matokeo mfukoni!!!Simba tupo imara msimu huu tunawapiga nje na ndani hao wajelajela
Hahaa tunataka kuangalia zote mkuuASA wewe Biriani na Magimbi unashindwa nini kuchagua??
Sema MABINGWA WA NCHI.Mikia fc, aka Mbumbu fc hamjambo humu ndani?