Yanga yuko uwanja wa Uhuru na mechi ni saa 10.00 jioni sambamba na mtani wake simba
Hahaa tunataka kuangalia zote mkuu

Ila nasikia tff wamerekebisha tayari, kwamba simba ni saa kumi halafu yanga saa moja (hearsay)

Kama habari hizi ni kweli, then it's swadakta now[emoji120][emoji120]
 
Hahaa tunataka kuangalia zote mkuu

Ila nasikia tff wamerekebisha tayari, kwamba simba ni saa kumi halafu yanga saa moja (hearsay)

Kama habari hizi ni kweli, then it's swadakta now[emoji120][emoji120]
Yaani hamjajua kwanini zichezwe wakati mmoja?! Duh...kumekuwepo na malalamiko ya muda. Mrefu kwamba timu moja inayodai ina kikosi kipana imekuwa 'ikicheza' mechi nyingine huku wapenzi wake wakisafiri kwenda kwa timu nyingine na kufanya vurugu huku wakitamba kuwa watahakikisha kuwa timu hiyo inafungwa...Sasa mechi zote ni muda mmoja...tehteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…