KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Lete habar nyan, uneducated person, mbwaMikia fc, aka Mbumbu fc hamjambo humu ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete habar nyan, uneducated person, mbwaMikia fc, aka Mbumbu fc hamjambo humu ndani?
Hahaa tunataka kuangalia zote mkuu
Ila nasikia tff wamerekebisha tayari, kwamba simba ni saa kumi halafu yanga saa moja (hearsay)
Kama habari hizi ni kweli, then it's swadakta now[emoji120][emoji120]
Simba hapaKesho ni simba vs Tanzania prison. Nataka niwajue mapema Simba yupi Tanzania prison yupi.
Tupia comments il i tujuane mapema.
Hivi Uhuru kuna mataa siku hizi? Au wameiamishia ChamazYanga inacheza saa moja
Kweli ile ni birian ya topewatu wataangalia mpira biriani, mpir ni starehe hatutaki kuona mpia butubutu
Njoo urudie kusoma ulichoandikaSimba tupo imara msimu huu tunawapiga nje na ndani hao wajelajela
Yaani hamjajua kwanini zichezwe wakati mmoja?! Duh...kumekuwepo na malalamiko ya muda. Mrefu kwamba timu moja inayodai ina kikosi kipana imekuwa 'ikicheza' mechi nyingine huku wapenzi wake wakisafiri kwenda kwa timu nyingine na kufanya vurugu huku wakitamba kuwa watahakikisha kuwa timu hiyo inafungwa...Sasa mechi zote ni muda mmoja...tehtehHahaa tunataka kuangalia zote mkuu
Ila nasikia tff wamerekebisha tayari, kwamba simba ni saa kumi halafu yanga saa moja (hearsay)
Kama habari hizi ni kweli, then it's swadakta now[emoji120][emoji120]