Kumbe anajua kufunga..? shida nini sasa"Yanga na Simba zimetuchelewesha Sana"naanza kuamini Sasa,Moja ya Usajili makini wa Kukurupuka!..Sijui Kama wenzetu pia hufanya hivi,Kisa kakufunga Unamsajili!
Ila chikwende ni mchezaji mzuri sana"Yanga na Simba zimetuchelewesha Sana"naanza kuamini Sasa,Moja ya Usajili makini wa Kukurupuka!..Sijui Kama wenzetu pia hufanya hivi,Kisa kakufunga Unamsajili!
Uzuri wake unaonekana akikutana na beki mbovu. Akikaziwa mbona utamkimbia? Mfano Ni mechi ya juzi taifa, alifanya nini, au hakucheza?Ila chikwende ni mchezaji mzuri sana
Taifa alionekana japo hakufungaUzuri wake unaonekana akikutana na beki mbovu. Akikaziwa mbona utamkimbia? Mfano Ni mechi ya juzi taifa, alifanya nini, au hakucheza?
Alionekana sana tu,Uzuri wake unaonekana akikutana na beki mbovu. Akikaziwa mbona utamkimbia? Mfano Ni mechi ya juzi taifa, alifanya nini, au hakucheza?
Kunywa maji upoze koo, ushakula kipigo mambo ya hela pigeni mahesabu kwenu huko huko.
Msichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.Kweli Kabisa halafu wenyewe hata hawaelewi
Msichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.
Itakua vizuri sana, apate walau muda kidogo wa kukaa na timu kambini, maana mapema mwezi ujao shughuli inaanzaKocha mkuu inawezekana akatangazwa leo
Nguvu moja
Yanga yenyewe sio team ni club ndio maana kwa sasa hakuna team itakayokaitisha ikaondoka na ushindi mbele ya yanga sasa ww unaejiita unateam pambana na team yako tuache wenye club tuendeleze ubabe,et namungo na azam hata soo huoni pata haja kubwa ukalale naona imekubanaSasa Yanga nayo ni timu au ni mkusanyiko wa genge la wahuni si afadhali ungenitajia Azam au Namungo?? Ila mna haki ya kushangilia sababu hamkubeba kombe lolote muda mrefu....!
Teheteheteh!nacheka lakini najiuliza!Hahaaaa hahaaaa nacheka lkn naogopa..... Hongera
Povu kiwango cha unyaniMsichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.