Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
"Yanga na Simba zimetuchelewesha Sana"naanza kuamini Sasa,Moja ya Usajili makini wa Kukurupuka!..Sijui Kama wenzetu pia hufanya hivi,Kisa kakufunga Unamsajili!
 
Kumbe anajua kufunga..? shida nini sasa
 
Uzuri wake unaonekana akikutana na beki mbovu. Akikaziwa mbona utamkimbia? Mfano Ni mechi ya juzi taifa, alifanya nini, au hakucheza?
Taifa alionekana japo hakufunga
 
Miquissone Luis alitufunga kisha tukamsajili nani haijui shughuli yake....hoja hii kwa chikwende haina mashiko alicheza vizuri harare lakini pia alikuwa hapokonyeki mpira kirahisi na ana kasi nzuri.
 
Kunywa maji upoze koo, ushakula kipigo mambo ya hela pigeni mahesabu kwenu huko huko.
Kweli Kabisa halafu wenyewe hata hawaelewi
Msichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.
 
Sasa Yanga nayo ni timu au ni mkusanyiko wa genge la wahuni si afadhali ungenitajia Azam au Namungo?? Ila mna haki ya kushangilia sababu hamkubeba kombe lolote muda mrefu....!
 
Simba Super Cup [emoji91][emoji91]
IMG-20210122-WA0091.jpg
 
Sasa Yanga nayo ni timu au ni mkusanyiko wa genge la wahuni si afadhali ungenitajia Azam au Namungo?? Ila mna haki ya kushangilia sababu hamkubeba kombe lolote muda mrefu....!
Yanga yenyewe sio team ni club ndio maana kwa sasa hakuna team itakayokaitisha ikaondoka na ushindi mbele ya yanga sasa ww unaejiita unateam pambana na team yako tuache wenye club tuendeleze ubabe,et namungo na azam hata soo huoni pata haja kubwa ukalale naona imekubana
 
Chuma Kingine Kimetuaaa [emoji91][emoji91][emoji91]

Anaitwa Peter Muduhwa[emoji419][emoji419]
Kule Harare Wanamuita Berlin Wall

MASTER OF DEFENCE [emoji91][emoji91]
IMG_20210126_134701_816.jpg
simbasctanzania_3___CKgSzISMv5H___.jpg
IMG_20210126_134701_817.jpg
simbasctanzania_1___CKgSzISMv5H___.jpg
 
Msichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.
Povu kiwango cha unyani
 
Back
Top Bottom