Hivi Timu itaendelea kuipa Heshima Tanzania kizazi na kizazi.
Ndiyo Timu bora kwa Afrika Mashariki
Nyie mikia Al Ahly mtaiweza kweli?
Imekuaje kacheza tena? Si mwakalebela alituambia ana kesi huko FIFA jamaniiii
BushaMan BM 3 [emoji91][emoji91][emoji419]
Mbona tuliwapapasa umesahau utoNyie mikia Al Ahly mtaiweza kweli?
Kwa Simba Hii [emoji91][emoji91]
Wakati BM3 kafunga Goli sasahivi utamsikia Mwakalubela anaita Press kuwadanganya Uto kuhusu kesi yake
TOTAL WAR POINT OF NO RETURN
SIMBA SC VS AL AHLY
GROUP A CAF CHAMPIONS LEAGUE
DAR ES SALAAM
KWA MKAPA
1600HRS 23/2/2021
View attachment 1706359