Kabisa mkuu..Clean sheet mzunguko wa kwanza huku tumecheza away mbili barida sana
Uwanja tulopelekwa kuchezea ulkuwa mbaya sana hata biriani ilikataa.[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1718764
Waje tuwazabue kwa MkapaUwanja tulopelekwa kuchezea ulkuwa mbaya sana hata biriani ilikataa.
Tunaasubir kwa mkapa
HATOKI MTU KWA MKAPATumecheza Vizur na Hatukuruhusu Goli.
"Niwakumbushe bado Kauli mbiu ni ile ile Kwa Mkapa Hatoki Mtu.
Kuna wakati Mungu huwashusha wenye nguvu na wanaojikweza na kuwanyanyua walio dhaifu! Ni katika kuonyesha tu ukuu wake!Mambo ni hivi
Mambo ni hivi
Kweli mkuuKuna wakati Mungu huwashusha wenye nguvu na wanaojikweza na kuwanyanyua walio dhaifu! Ni katika kuonyesha tu ukuu wake!