Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
SIMBA%20SC.jpg
 
Here We Go...!![emoji881][emoji881][emoji91]View attachment 1710800
Ila hizi jezi ni mbayaa halafu hawa El Merrikeh si wahuni wa sudan ya Kaskazini au ni kusini mazee ..me naona kabisa hii game tunapoteza sisi mikia fc halafu mwarabu al ahaly ananipigia huyu as vita ili tukienda kule misiri tukakamilishe ratiba maana tutaoga goli za kutosha pale[emoji2][emoji2]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Unatesekaa Ukiwa wapi Mzee Utopolo
 
Wakuu kama kuna kundi lolote la whatsapp la mashabiki wa SIMBA SC naombeni link yake tafadhali...
 
Back
Top Bottom