Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
CAF_1.jpg

Mambo hayooooo!! Pasaka inazidi Kunoga!
 
Leo niota ndoto mbaya Sana chama la wanasimbazi limefungwa bao 1-2 ilininyima usingizi wangu kbs hadi asbh na kuomba iishie kuwa ndoto.

Nilijifariji pale nilipokumbuka kuwa si mara zote au nyingi ndoto zinakuwa si kweli mfano nimeota mara nyingi unaokota hela au unafukuzwa na mnyama mkali.

Naomba pia ndoto hii iishie kama ndoto hizo zingine.

Ningeomba wenye wataalamu wazidishe dua kwani pia kuna ndoto mbaya ukiota unatumia maliwato haikuachi salama kabisa so ndugu zangu sala zetu tunazozijua muhimu sana.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Pascal Wawa
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude
7. Clatous Chama
8. Muzamiru Yasin
9. Chris Mugalu
10. Larry Bwalya
11. Louis Miquissone

Kipindi cha Pili waingie hawa tu tafadhali

1. Bernard Morrison
2. Meddie Kagere
3. Hassan Dilunga
4. John Boko
5. Miraji Athumani
6. Erasto Nyoni

Tafadhali fikisheni hii Taarifa yangu ya Kitabiri na Kindumba upesi kwa Watu wa Simba SC na wafanye kama All - Rounder nilivyoelezea hapa.

Kila la Kheri Mkongo leo anakufa nyingi.
 
Bila lwanga list ni feki.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Amka kumekucha usije ukanya kitandani

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Pascal Wawa
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude
7. Clatous Chama
8. Muzamiru Yasin
9. Chris Mugalu
10. Larry Bwalya
11. Louis Miquissone

Kipindi cha Pili waingie hawa tu tafadhali

1. Bernard Morrison
2. Meddie Kagere
3. Hassan Dilunga
4. John Boko
5. Miraji Athumani
6. Erasto Nyoni

Tafadhali fikisheni hii Taarifa yangu ya Kitabiri na Kindumba upesi kwa Watu wa Simba SC na wafanye kama All - Rounder nilivyoelezea hapa.

Kila la Kheri Mkongo leo anakufa nyingi.
Hivi All-Rounder wewe si tunakujua ni utopolo damu damu?? Tangu lini ukawa Simba? Labda kama umebadilika kuanzia jana!! Kama ni hivyo karibu! Ila usitake tukuwekee hapa post zako za kujitakia simba kufungwa maana tunazijua!
 
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Pascal Wawa
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude
7. Clatous Chama
8. Muzamiru Yasin
9. Chris Mugalu
10. Larry Bwalya
11. Louis Miquissone

Kipindi cha Pili waingie hawa tu tafadhali

1. Bernard Morrison
2. Meddie Kagere
3. Hassan Dilunga
4. John Boko
5. Miraji Athumani
6. Erasto Nyoni

Tafadhali fikisheni hii Taarifa yangu ya Kitabiri na Kindumba upesi kwa Watu wa Simba SC na wafanye kama All - Rounder nilivyoelezea hapa.

Kila la Kheri Mkongo leo anakufa nyingi.
Naona upo hapa kuwanga tu!! Utopolo mkubwa wewe!!
 
Hujui mpira, where is T Lwanga??
 
Combination ya Mkude na Muzamiru haijawahi kuleta matokeo mazuri mara ya mwisho walitumika Stars walipocheza na equatorial Guinea na bado walichemsha ukiacha sare ya mbilimbili na yanga
 
Back
Top Bottom